USIKU WA CHOZI LA MAMA NDANI YA KAHAMA TAZAMA HAPA

 Mc mabobish akitambulisha usiku wa show ya utambulisho albam yetu mpya ya {chozi la mama} na kukaribisha wenyeji wetu kwenye burudani hizo usiku wa kuamkia leo
 Mpiga Soro wa jahazi modern taarab Emeraa soro akifanya mambo ndani ya kahama
 fatma ally[mama shughuli} akifanya yake ndani ya ukumbi wa social club kahama
fans wa jahazi modern taarab mkoani kahama
 Mohamed ally {mtoto pori} baba wa kazi mnayo akipagawisha mashabiki zake ndani ya mji wenye mgodi mkubwa wa dhahabu kahama. mohamedi ally ni kati ya wasanii sita ambao waliunda albam ya wasi wasi wako chini yake mfalme mzee yussuf.
 khadija binti wa yussuf kama kawaida yake mwendo wa kinyoga sauti ya chiriku mama wa {mambo bado} akifanya ya ajabu ndani ya ukumbi wa social club kahama
 JAHAZI MODERN TAARAB ARTIST
 jahazi modern taarab fans.
 Prince amigo mzee wa full shagwee a.k.a kirikoo akifanya yake na marafiki zake wa mjini kahama.
 Malkia leyla rashidi 
mwanauziki wa jahazi modern taarab mke wa mfalme mzee yussuf. Leyla Rashidi pia ni kati ya wasanii ambao wamekuwa na jahazi modern taarab tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 2006 paka sasa ameweza kudumu ndani ya kundi hili takribani miaka 8 yumo bega kwa bega kuhakikisha jahazi alizami
 Mwansiti Mbwana Kitoronto
mwansiti mbwana mama wa {jaala haikimbiliki} mwana dada huyu pia ni kati ya wasanii wa kongwe ndani ya band ya jahazi modern taarab kwa muda sasa. mwansiti pia ni kati ya wasii sita ambao watakwenda isindikiza albam yetu mpya ya {chozi la mama} yeye akiwa ameshikilia nyimbo inayo kwenda kwa jina la{alipangalo jalali}
Big Daddy Mfalme mzee yussuf ndani ya kahama mine akiwapa vionjo wakazi wa kahama
"mtanibeba leooo" mmekula pesa zangu nasema x2
hivi ndivyo ukumbi wa social club alivyo furika 
STORY /PICTURE BY.HAJI MABOVU
JAHAZI MODERN TAARAB TOUR @ 2014 MWANZA 
     FOLLOW INSTGRAM/JAHAZIMODERNTAARAB
          FOLLOW TWITTER/JAHAZIMODERNTARAAB

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment