prince amigo
mc kichefuchefu akitambulisha albam yetu mpya ya chozi la mama ndani ya mkoa wa ruvuma wilaya ya songea. amigo pia ni kati ya wasanii sita ambao wanakwenda ikamilisha albam hiyo uku yeye aki simama na nyimbo ya [TIBA YA MAPENZI}
Mohamed Ally (mtoto pori)
msanii kutoka jahazi modern taarab Mohamed ally mtoto pori akitoa radha kwa wakazi wa songea.
Malkia Leyla binti Rashidi nae alisababisha kiupande wake na single yake mpya ya (fanya yako)
ambayo iko ndani ya albam yetu mpya.
Fatma Mcharuko
mtoto wa kizanzibar kwa sasa anajita fatma nyoro mwanamke imara. Fatma ni kati ya wasanii sita kutoka kundi zima la jahazi modern taarab ambao wanakwenda ikamilisha albam yetu ya kumi ya (chozi la mama)
SONGEA STAND UP
Mfalme mzee yussuf akitambulisha nyimbo yake mpya iliobeba albam chozi la mama ndani ya mkoa wa Ruvuma wilaya ya Songea.
jahazi modern taarab artist.
haya sasa muda wa kucheza sindimba ukafika na wageni wakajimwaga kwa nakshi na ndelemo huku wa tanzanite kule wazungu haya endelea kutazama utamu wa sindimba kwenye picha za chini.
Tucheze sindimba............
Tucheze sindimba............
Tucheze sindimba............
JAHAZI MODERN TAARAB ASS. DIRECTOR KHAMIS BOHA MWENYE JEZI YA NJANO KATI KATI
STORY /PICTURE BY.HAJI MABOVU
JAHAZI MODERN TAARAB TOUR @ 2014 SONGEA
FOLLOW INSTGRAM/JAHAZIMODERNTAARAB
FOLLOW TWITTER/JAHAZIMODERNTARAAB
Share This
0 comments :
Post a Comment