FATMA ALLY {MAMA SHUGHULI} NDANI YA VILLA PARK
Fatma ally ni kati ya wasanii wa jahazi modern taarab wanao kubalika sana mkoa mwanza hivyo anapokuwa juu ya stage shwangwee zinakuwa nyingi na hata watu kuwa na msisimuko wa hali ya juu kwenye uimbaji wake.
MFALME MZEE YUSSUF MFALME WA UPEO ASIE PENDA MAJISIFU NDANI YA VILLA PARK KATIKA USIKU WA PATA SHIKA NA NGUO KUCHANIKA.
mzee yussuf ni msanii wa jahazi modern taraab pia ni mkurugenzi mkuu wa kundi hili la jahazi modern taarab mwanamuziki huyu amekuwa ni kati ya watunzi bora wa muziki wa taarab kwa mwaka 2013 /2014 kupitia kinyang'a nyiro kilicho kuwa kinaendeshwa na kampuni ya brewaries marrufu kama kilimanjaro music awards. mzee yussuf hana mpinzani kwani awapo stejini kila mkoa ndani na nje ya tanzania ni shagweeeee za kufa mtu
JAHAZI MODERN TAARAB FANS NDANI YA MWANZA
MALKIA LEYLA RASHIDI AKISHUSHA BURUDANI YA NGUVU KWA WAKAZI WA MWANZA NA VITONGOJI VYAKE PALE VILLA PARK
PRINCE AMIGO MTOTO WA MFALME AKIWASHA MOTO NDANI YA VILLA PARK.
amigo ni kati ya wasanii ambao wanaunda kundi zima la jahazi modern taarab hii sasa ni albam ya tatu anashiliki tena {chozi la mama} amekuwa ni kati ya mastaa wa muziki wa taarab nchini tanzania kutokana na sauti na mbwe mbwe awapo steji. jina lake kamili ni abubakar soud ni mzaramo halisi kutoka dar es salaam tofauti na jahazi na uanamuziki amigo ni mwanamichezo wa mpira wa miguu na 8 midle. wakazi wa nchini kenya nairobi/mombasa wanamuita kirikoo. tofauti na muziki pia ni baba wa watoto wawili na wake wawili {mama mani} na {habiba}
KHADIJA YUSSUF {sauti ya chirikuu} mwana dada khadija yussuf amekuwa ni msanii mwenye ladha ya pekee kutokana na sauti yake yenye nakshi na vionjo kutoka visiwani zanzibar. khadija amekuwa ni kati ya wasanii wa kike wanao unda kundi zima la jahazi modern taraab ni msanii pendwa kwenye mikoa kama mwanza,dodoma,kahama,shinyanga,geita,morogoro na mikoa mingineyo mingi tu inayo unda nchiya tanzania pia khadija ni msanii ambae anakubalika sana katika nchi za africa ya mashariki ziiwemo kenye,uganda,rwanda na burundi ukiachana na tanzania bara khadija ni mzaliwa wa visiwani zanzibar amefanya kazi na band tofauti tofauti lakini mengi yame mkuta jahazi ambayo inamilikiwa na kaka yake mzee yussuf.
FATMA MCHARUKO
Fatma mahmood mcharuko ni kati ya wasanii ambao wanaunda kundi zima la jahazi. msanii huyu nyota yake alianza kung'ara mnamo mwaka 2011 baada ya kupewa nyimbo ya mfamaji na big dadyy mfalme mzee yussuf. mcharuko ni binti mdogo sana lakini anaupeo mkubwa na ufanisi katika ufanyaji kazi wake amekuwa karibu zaidi na mashabiki wake. hapo pichani ni mkoani mwanza mwana dada huyu alipokuwa anapagawisha mashabiki zake ndani ya vill park
ENDELEA KUTAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA.
RAHMA MACHUPA
MOHAMEDI ALLY
PRINCE AMIGO
PRINCE AMIGO
FATMA MCHARUKO
MZEE YUSSUF ON STAGE
MZEE YUSSUF ON STAGE
FATHER MAUJI VS MZEE YUSSUF ON STAGE
MZEE YUSSUF ON STAGE
JAHAZI MODERN TAARAB FANS IN MWANZA VILLA PARK
KHADIJA YUSSUF, FATMA MCHARUKO NA LEYLA RASHIDI
DOGO MFAUME NA MFALME MZEE YUSSUF
LEYLA RASHIDI NA MFALME MZEE YUSSUF
STORY /PICTURE BY.HAJI MABOVU
JAHAZI MODERN TAARAB TOUR @ 2014 MWANZA
FOLLOW INSTGRAM/JAHAZIMODERNTAARAB
FOLLOW TWITTER/JAHAZIMODERNTARAAB
0 comments :
Post a Comment