Mfalme mzee yussuf akisikiliza maneno mawili matatu kutoka kwa mc wa shughuli hiyo.
Mzee yussuf akiwa ameshika muhuli katika mkono wake kuonyesha kuwa ofisi ya vijana hawa wana wa ushirikiano wamekamilika zaidi kwani ofisi ni vifaa
mfalme mzee yussuf pamoja na mgeni rasmi mwenzake wakiwa katika harakati za kukata utepe kudhihirisha kuwa kikundi hiki kimefunguliwa rasmi
MFALME MZEE YUSUPH akipewa zawadi yake
waoooooooo
WAGENI RASMI WAKISHANGILIA ZOEZI LA UFUNGUAJI RASMI WA KIKUNDI HICHO.
WAGEMI WAALIKWA...
MFALME MZEE YUSSUF AKIONGEA MAWILI MATATU KABLA YA KUSEMA KUWA ATAWAPA ZAWADI YA KUWALETEA MTAALAMU WA KUTENGENEZA MATOFALI KUTOKA MZEE YUSSUF ENTERPRISES ILI WANAKIKUNDI HAO WAPATE PIA KUJIFUNZA ELIMU YA UTENGENEZAJI WA MATOFALI IMARA.
0 comments :
Post a Comment