AMINI USIAMINI HAKUNA KAMPENI WALA TAFRIJA AWA NI WAKALI WA TAARAB AFRICA MASHARIKI JAHAZI MODERN TAARAB WANA WA NAKSHI NAKSHI WALIPO POKELEWA KAMA RAIS MJINI SAME TAZAMA HAPA

 MADEREVA BODA BODA WAKIONGOZA MSAFARA HUO
 MC AKIWA KAZINI KUHAKIKISHA ONYESHO HILI LINAKUWA THE BEST
 MSAFARAA......
PRINCE AMIGO MWENYE SHATI YA PUNDA MILIA NA KUSHOTO NI KIDAGAA DEREVA MSAIDIZI WA GARI YA WASANII YA JAHAZI MODERN TAARAB WAKICHEZA KIDUKU
 PICHANI KWENYE KIOO NI MFALME MZEE YUSSUF AKIANGAZA MACHO KWENYE VIUNGA VYA SAME
 MSAFARAA......
 MSAFARAA......
  MSAFARAA......
  MSAFARAA......
PICHANI NI MSANII PRINCE AMIGO AKISHANGAA MSAFARA HUO AMBAO HAKUAMINI KAMA SIKU ILE ITAKUWA SPECIAL KINAMNA HIYO
  MSAFARAA......
  MSAFARAA......
  MSAFARAA......
ULIFIKA MDA WA NIPE TANO NIKUPE TANO MFALME MZEE YUSSUF AKIWAPA TANO MASHABIKI WA JAHAZI MODERN TAARAB MJINI SAME
 NIPE TANO NIKUPE TANO TIME.........
 BAADHI YA WAKAZI WA MJINI SAME WAKISHANGAA NA KULITAZAMA ZAIDI GARI MBALO WALIKUWAMO NYOTA WA MUZIKI WA TAARAB AFRICA MASHARIKI JAHAZI MODERN TAARAB LILIPO PITA MAENEO FLANI HIVI YA MJINI SAME
MSHANGAOOO.../////????????
 MALKIA LEYLA RASHIDI AKIWA BADO KWENYE GARI YA BAND AKIBADILISHANA KIDOGO MAWAZO NA WASANII WENZAKE
 KIUKWELI KAMA UNAVYOJUA SAFARI NI HATUA WATU WALIFIKA WAMECHOKA ZAIDI HAPA WANGINE WAKIWA WAMEJILAZA NA WENGINE WAKIONYESHA SURA ZA UCHOVU
MFALME MZEE YUSSUF AKISHUKA KWENYE BUSS NA KUWASALIMU WAKAZI WA SAME KIDOGOO KABLA YA KWENDA HOTEL KUPUMZIKA KABLA YA SHOW KUAANZA

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment