MFALME MZEE YUSSUF AZIZIMA MJINI LONDON TAZAMA HAPA UONE












Wa Tanzania waliopo london walifurahia show na kumpongeza mfalme huyu wa taarab kwa kusema asantee mfalme kwa kutuonjesha" mfalme akawauliza mnataka tenaa... mashabiki walisema tena na tena kwani tukuonapo wewe tunahisi tupo nyumbani.

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment