jahazi modern taarab wangusha show ya nguvu ndani ya mkoa wa songea pande za nzega kuhakikisha watu wa nzega wanapata burudani iliyo kamili
mfalme mzee yussuf akiwapa nakshi kidogo wapenzi wa jahazi ndani ya jiji la nzega mkoani tabora
father mauji daktari wa meno mpiga solo wa jahazi mohamedi mauji nae alihakikisha kuwa anafanya kazi vizuri na wakazi wa nzega wanapata raha katika show ambayo ilikwenda kwa jina la usiku wa jiti usiku wa nunu nunu
mfalme mzee yussuf
babu ally kichupa unaweza mwita ivyo mpiga kinanda wa jahazi modern taaarab akiwapapasia kinanda waone rahaaaaaaa wakazi wa nzega
kama unavyojua mziki raha yake kucheza sasa hawa wamenogewa zaidi wameamua kuwaonyesha watu dhahiri kuwa hapana chezea wao huyu ni bwana ally hassan na bibie mariam salim ni wapenzi wa muda wa miaka 6 sasa wamekuja kupata raha kidogo kwenye band yao ya jahazi modern taarab
mzee yussuf
mc mabobish
haya sasa muda wa kupeana stara ulifika bibie rahma machupa aliwapa stara wakazi wa nzega na waka starika zaidi walivyo fikiri
rahma machupa
Rahma machupa
khadija yussuf sauti ya chiriku nae alitamba kwenye jukwaa ilo la usiku wa jitii ama usiku wa nunu nunu ndani ya nzega mkoani tabora
khadija yussuf
khadija yussuf
fatma mahmud unaweza mwita fatma mchuruko nae alilifanya tamasha la usiku wa jiti lipendeze zaidi haswa pale alipoimba nyimbo ya marupe rupe watu walinyanyuka na kucheza kwa furaha zaidi kiukweli ilikuwa ni siku ya matumaini kwa kila mtu alie shiriki
mussa bezzz
fatma mcharuko
habari/picha>haji mabovu
0 comments :
Post a Comment