TAZAMA PICHA NA VIDEO ZA SHOW YA JAHAZI MODERN TAARAB MWANZA

 
Malkia leyla rashidi akishambulia jukwaa villa park
 Malkika Leyla
  Malkika Leyla
 Khadija binti Yussuf akishambulia jukwaa Villa Park Mwanza
 Kushoto pichani ni Fatma Mcharuuko, Malkia Leyla, Rahma Machupa
 Fatma Ally {mama shughuli} msanii mkongwe kotoka band ya jahazi modern taarab yupo tangu kuanzishwa kwake paka sasa bado anazidi kuonyesha umahili wake wa kuimba na kucheza akiwa ndani ya steji kubwa ya ukumbi wa Villa Park Mwanza
 
Jahazi modern taarab crew
 Big dady Mfalme Mzee Yussuf akionyesha ukongwe na umahiri zaidi kuwa yeye bado ni mfalme wa taarab baada ya kufungua kibao chake kipya mjini hapo kitwacho mahaba niuwe na kupokelewa vizuri na wakazi wa mwanza kisha kuimba nao pamoja
 BIG DADY ON DA STAGE
  BIG DADY ON DA STAGE
PICHA NA MATUKIO ZAIDI YA HARAKA TUFATE KWENYE UKURASA WETU WA INSTAGRAM NA FACE BOOK /JAHAZIMODERNTAARAB

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment