TAZAMA SHOW YA WANA WA NAKSHI NAKSHI NDANI YA SAVOY MKOANI MOROGORO

 Emeraa soro mpiga soro kutoka kwenye band yetu ya jahazi modern taarab
 Fatma ally nae alihakikisha anakonga nyoyo za 
mashabiki ndani ya mji kasoro bahari morogoro
 Fatma Kassim moja ya wasanii wakongwe ambao wanaitambulisha vyema jahazi modern taarab na kibao chake cha {mkamilifu} kilicho tungwa na Mfalme Mzee yussuf na kuimba nae mwanadada huyu mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
 Hawa Wazee Sugu kutoka jahazi modern taarab. wa kwanza kushoto ni Fatma Ally wa pili  ni Mwansiti Mbwana kitoronto na bibie Mc maboshi mwisho kabisa.
 Chirikuu Khadija Yussuf Kama kawaida yake mwana dada huyu ambae hutulia sana anapokuwa anaimba stejini lakini ana mambo hatari sana haswa sauti yake yenye nakshi na bashasha za kizanzibar. Wakazi wa Morogoro huwa wanapenda sana uwepo wa mwanadada huyu mkoani hapa kwani anawa konga nyoyo vibaya mno.
 Malkia Leyla binti Rashidi nae hakubaki nyuma katika kuhakikisha burudani inakuwa bora zaidi ndani ya savoy mkoani morogoro
 Mussa Mipango.mpiga bezz wa jahazi modern taarab

Mwansiti Mbwana Kitoronto
Mashabiki wakicheza

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment