CHOZI LA MAMA MEMO:
huu ndo wakati wetu twenzetu kikwetu kwetu
jahazi modern taarab tutazindua albam yetu ya kumi ndani ya ukumbi wa
dar live siku ya jumamosi tarehe 21 june albam ya chozi la mama yenye
nyimbo sita karibu sana ndugu zetu tuzindue cha kwetu kingilio kitakuwa
shilingi elfu kumi na tano utapewa na cd moja yenye nyimbo sita pale
pale mlangoni.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment