Hakuna kama jahazi modern taarab yashinda ,Milioni moja tazama hapa

kamati ya mandalizi kutoka wizara ya habari/michezo
 the east african melody yawa mshindi wa pili katika mashindano haya ya mtunzi bora wa nyimbo ya kuimarisha mungano (upande wa band za taarab)

 mashujaa band akitumbuiza chini yake chars baba mzee wa masauti
kwa upande wa mashindano yachukuwa nafasi ya tatu (band za dance) mshindi wa kwanza ni msondo ngoma na wapili ni kundi la wazee linaongozwa na king kikii
 hawa ndio majaji wa siku ya leo
 Khadija binti yussuf akifanya yake katika sherehe hizo
         JAHAZI MODERN TAARAB CREW
MZEE YUSSUF NA MALKIA LEYLA RASHIDI NDANI YA JUKWAA MOJA MZEE AKIWA NA MSULI MALKIA AKIWA NA KHANGA KUONYESHA KUWA BARA NA VISIWANI BADO TUNAITAJI MUNGANO WETU UZIDI KUENDELEA
 JAHAZI MODERN TAARAB CREW
 KIJANA AKIFANYA HATARI YA KUCHEZA NA MOTO
 VIONGOZI WA BAND WAKISIKILIZA MATOKEO YAO HAPO JANA
MKURUGENZI MIPANGO HAMIS BOHA KUTOKA JAHAZI MODERN TAARAB AKIENDA KUFUATA TUZO YA BAND BORA YA TAARAB KWENYE UTUNZI WA NYIMBO BORA YA KUIMARISHA MUNGANO JAHAZI ILIJISHINDIA SH. MILIONI MOJA

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment