tazama siku ya idd ilivyofana ndani zanzibar na jahazi modern taarabu
Super kinanda mazoe the jembe akiwa tayari kushuka kwenye bot ya kilimanjaro iv kwenda kuwapa raha wakazi wa zanzibar
Rahma machupa akiwapa stara watu wa mji mkongwe wa zanzibar katika ukumbi wa police mess
fatma shobo mama wa nunu nunu nae alikuwepo kuhakikisha jahazi linasonga
mfalme mzee yussuf
Mfalme mzee yusuphh A.K.A big dady nae alikonga nyoyo za wakazi wa zanzibar na kujiskia wapo safi kabisa kuptia kibao chake cha WASI WASI WAKO
mohamedi ally mtoto pori akifanya yake na na shabiki wake wa damu ndani ya mji mkongwe zanzibar
Prince amigo abubakari sudi akifanya hatari zake kwenye ukumbi wa police mess zanzibar kwenye kukamilisha sikukuu ya nne ya eid-al haji
fatma mahamud a.k.a mcharuko akifanya mambo ndani ya viwanja vya police mess zanzibar
wazee wa matangazo na matukio mbali mbali uyaonayo kwenye blog hii ni haji mabovu kulia na hance kiumbe kushoto
0 comments :
Post a Comment