JAHAZI CREW NA PRINCE AMIGO
JAHAZI CREW
MFALME MZEE YUSUPH AKIWA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
MH.IDD AZANI{KATIKATI}AKISHUHUDIA SHOW KALI WALIOIFANYA VIJANA KUTOKA JAHAZI MODERN TAARABU WANA NAKSHI NASKHI
PRINCE AMIGO
GRAPHISC DISGNER WA JAHAZI MODERN TAARAB HAJI MABOVU
FATMA MCHARUKO AKIWAPA RAHA NA KUWAPAGAWISHA WAPENZI WA JAHAZI KATIKA KITUO CHA MABASI MWENGE NA KUFANYA WATU KUWACHA SHUGHURI ZAO NA KUMTIZAMA YEYE
MZUKA UKAMPANDA MHASIBU WA JAHAZI SEIF SHIBOLY NA KUNGANA NA WASANII KULIOSONGESHA JAHAZI ILI LISIZAME
SEIF SHIBOLY NA KITOLONTO
BAUNSA WA JAHAZI ALLY AKIMTUNZA BOSI WAKE SEIF SHIBOLY KATIKA SHOW HIYO YA WANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
NYOMI YA WATU IKITIZAMA JAHAZI INAVYO KWENDA KUTIA NANGA
STORY/PICHA HANCE KIUMBE
0 comments :
Post a Comment