Tarehe 16 sikuu ya kwanza jahazi itakuwa ukumbi wa ikwete-mtoni kwa aziz ally jijini dar es salaam
Tarehe 17 sikuu ya pili jahazi itakuwa ukumbi wa karembo- buguruni jijini dar es salaam
Tarehe 18 sikuu ya tatu ukumbi wa Abbas Club-Tanga waja leo waondoka leo
Tarehe 19 jahazi itahamisha gurudumu la burudani katika visiwa vya zanzibar
0 comments :
Post a Comment