jahazi modern taarab yapata ajari mbaya sana jana mchana wakiwa wanatoka kwenye show arusha na moshi tazama picha za tukio zima





         HUYO UNAEMUONA HAPO WAKIUME NDO DEREVA NAE AMAEFARIKI
HAJI MABOVU MWENYE SHATI NYEUSI MPIGA PICHA WA JAHAZI     AKISHANGAA AJARI HIYO


             GARI YA JAHAZI MODERN TAARABU AKIWA IMEPATA PANCHA

         MZEE YUSUPH MWENYE SHARTY NYEUPE AKIMWONYESHA DERAVA WA GARI NYEUPE WAPI PA KUPITA ILA KUTOA FOLENI ILIYOKUWA GUMZO HAPO
 ABIRI ALIE KUWA NDANI YA GARI HIYO ILIYOPATA AJARI AKIWA TAYARI AMESHA POTEZA MAISHA





                     DK.SLAA AKIWA NAE KATIKA KUSHUHUDIA TUKIO HILO
















jahazi modern taarabu jana mchana yanusurika kupoteza wasanii wake pamoja na mfalme mzee yusuph wakati wanatokea kwenye tour yao ya arusha,moshi baaada ya kutaka kukutana uso kwa uso na haice ambao imehama njia yake na hatimae kuikwepa haice hiyo ambayo dereva wake ilisemakana amelewa na kuingia kwenye mtaro na kusababisha kifo cha watu sita kutokea papo hapo baada ya haice iyo kuingia kwenye kitako cha lori na kusukumwa mtaroni





About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment