
MUSOMA MUSOMA TUNAKUJA NA UJIO WA ALBAM MBILI KWA MPIGO KUJA KUZITAMBULISHA KWENU KWA MARA YA KWANZA
VIBAO AMBAVYO VINABEBA ALBAM HIZO NI PAMOJA NA
1:KANING'ANG'ANIA YA-MFALME MZEE YUSSUF
2:NINA MOYO SIO JIWE YA-MALKIA LEYLA
3:HILO TU LIMEKUUMA YA - FATMA ALLY
4:KAMWE SIUMBUKI YA- FATMA KASSIM
HIZO NI CHACHE KATI YA NYINGI AMBAZO ZIMEBABA ALBAM HIZO HIVYO SAVE TAREHE MAPEMA NA KUJUA KUWA JAHAZI MODERN TAARAB TUTAKUWA HAPO SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 12/09/2015
0 comments :
Post a Comment