
Emeraa soro mpiga soro kutoka kwenye band yetu ya jahazi modern taarab

Fatma ally nae alihakikisha anakonga nyoyo za
mashabiki ndani ya mji kasoro bahari morogoro

Fatma Kassim moja ya wasanii wakongwe ambao wanaitambulisha vyema jahazi modern taarab na kibao chake cha {mkamilifu} kilicho tungwa na Mfalme Mzee yussuf na kuimba nae mwanadada huyu mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni.

Hawa Wazee Sugu kutoka jahazi modern taarab. wa kwanza kushoto ni Fatma Ally wa pili ni Mwansiti Mbwana kitoronto na bibie Mc maboshi mwisho kabisa.

Chirikuu Khadija Yussuf Kama kawaida yake mwana dada huyu ambae hutulia sana anapokuwa anaimba stejini lakini ana mambo hatari sana haswa sauti yake yenye nakshi na bashasha za kizanzibar. Wakazi wa Morogoro huwa wanapenda sana uwepo wa mwanadada huyu mkoani hapa kwani anawa konga nyoyo vibaya mno.

Malkia Leyla binti Rashidi nae hakubaki nyuma katika kuhakikisha burudani inakuwa bora zaidi ndani ya savoy mkoani morogoro

Mussa Mipango.mpiga bezz wa jahazi modern taarab

Mwansiti Mbwana Kitoronto

Mashabiki wakicheza
0 comments :
Post a Comment