USIKU WA SAA TATU KUNDI LAKO ZIMA LA JAHAZI MODERN TAARAB LIKIONGOZWA NA MFALME MZEE YUSSUF LITAKUWA PALE PALE KIWANJA CHA NYUMBANI MAGOMENI TRAVENTINE HOTEL HIVYO TUNAWAKARIBISHA SANA WAPENZI WETU. CD ZETU MPYA ZITAPATIKANA HAPA HAPA KWA SHILINGI ELFU TANO TU AMA MADUKANI. HAKIKISHA CD UTAKAYO NUNUA IWE NA NEMBO YA JAHAZI YA KUNG'ARA ILI UWE UMEWEZESHA. KAMA HAITA KUWA NA NEMBO HIYO TAFADHARI USINUNUE MAANA ITAKUWA SI COPY HALALI YA JAHAZI MODERN TAARAB.
facebook
twitter
google+
fb share
About
ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment