sharo mauzo akipeleka mabegi ya mzee yussuf kwenye gari ya tour
fatma mcharuko na rahma machupa wakishangaa jiji la singida na kuongea kwa furaha yalikuwa hivi mazungumzo yao"yani ni zaidi ya familia kwani tunakula pamoja tunacheza pamoja maisha ya kinyumbani nyumbani kiukweli tukiwa mikoani tuna enjoy sana shukrani za dhati kwa kampuni ya mzee yussuf enterprises" alisema msanii fatma mcharuko original
burudani,chakula na mambo mengi mengi ujitokeza.
mzee yussuf na leyla rashidi wakipata kifungua kinywa ndani ya singida
prince amigo akashika safu ya u trafic ili tu wenzake wapate kuvuka kwa usalama na kuzui magari ya uku na uku wana wa jahazi wapate kupita
Haya sasa yani ni vioja juu ya vioja huyu ni Seif Magwaru mkurugenzi wa kitengo cha hifadhi za pesa na uratibishwaji. Ila kwa upande wa tour kwake ikawa taofauti kidogo yeye akachukua kitengo cha huduma ya kwanza endapo tatizo lolote litatokea basi yeye ndo anatakiwa kuwa wa kwanza kukimbilia.
0 comments :
Post a Comment