kama ulikuwa humjui huyu ndie baba wa staa wa taarab mfalme mzee yussuf bofya hapa umtazame yussuf mwinyi

mfalme mzee yussuf akiwa {kushoto} na baba yake mzazi yussuf mwinyi mzee 
picha hii imepigwa na jahazi modern taarab media pale mzee yussuf  mwinyi alipo kuja kutazama show maalam kwa watu maalum wa mjini fuoni alipo zaliwa mfalme huyu wataarab hivyo basi akaoni arudi nyumbani kidogo kwenda kufungua mwaka na majirani zake.

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment