mfalme mzee yussuf na khadija yussuf walishambulia jukwaa moja kwa nderemo na bashasha maana wana miaka takribani miwili sasa tangu wawe wana ingia mji wa tanga na kutoka bila kupanda katika jukwaa moja hii sasa ikawa sapraizi kwa watu wa tanga.Mzee yussuf na dada yake khadija yussuf hawakuwaacha watu hivi hivi wakawapa kibao chao cha nyuma kidogo kilicho kwenda kwa jina la {WAGOMBANAO}baada ya mc kutangaza kibao hicho watu wa tanga walifurahi na kuruka kwa shangwe kumanisha kwamba ni chaguo lao.
father mauji{daktari wa meno}
haya sasa wakati wa kupeana stara ukafika bibie rahma machupa na madereva wake wawili ibara manoma na hemedi kisengeli walishambulia jukwaa kisawa sawa kwani binti huyu mwenye matishiti au unaweza muita {reon mess}huwa anacheza na kuimba kuhakikisha jukwaa halipoozi awapo yeye kwenye nafasi yake.Rahma machupa ni binti mwenye umri wa miaka 23 mzaliwa wa dar-es-salaam kabira mndengereko binti huyu alijiunga na kundi zima la jahazi modern taarab mnamo mwaka 2013 akiwa ajatokea band yoyote ile.Rahma tangu ajiunge na jahazi amekuwa mtu wa kujituma sana kazini na kufanya kazi kwa makini zaidi hivyo basi Mkurugenzi wa jahazi Mzee yussuf akampa binti huyu nafasi ya nyimbo katika albamu ya wasiwasi wako nyimbo iliyo kwenda kwa jina la{NIPE STARA}nyimbo hii mashaalah imekuwa ni nyimbo bora zaidi katika redio mbali mbali za ndani na nje ya nchi.
upande wa kulia ni fatuma mcharuko anae fuata ni malkia leyla rashidi na kushoto kwake ni bibie mish hii ndo safu ya jahazi modern taarab.
pichani ni {malkia leyla rashidi}akicheza jana katika sikukuu za kusheherekea mwaka mpya mjini tanga
ENDELEA KUTAZAMA PICHA
babu ally{keybodist}
hemedi kisengeli na rahma machupa
Mzee yussuf na khadija yussuf
mohamedi ally{mtoto pori}
prince amigo
0 comments :
Post a Comment