kwanza na kuanza kasimu mganga
alifungua jukwaa kwa nyimbo yake ya awena aliyo wai kutamba hapo nyuma
kwenye tv/redio stesheni na baada ya hapo kassimu moja kwa moja akawapa
mashabiki ile nyimbo yake ya i lovee youu watu wakaanza kuesabu i l o v e
y o u kasimu anamalizia i love you yani tajiri huyu wa mahaba alifunika
sana kwa upande wake
pichani{kassim mganga}
pichani{kassim mganga tajiri wa mahaba}
dj choka kwenye mashine akifanya moja na mbili kuhakikisha chomba kisiende mlama choka the one shot
joh makini mwamba wa kaskazini akifanya hatari zake kwa upande wake
yani ngum ku baa!aaa hatari sana jana pande za dar live watu walifurahi
sana na kusema tu weusi weusi weusi weusi kuashilia kwamba wamekubali
show
HAJI MABOVU
mkurugenzi wa kampuni ya M.media ambayo inamiliki website ya mabovu
story,mkwere original,jahazi modern taarab na bongo tamu akiwa ndani ya
red karpet
wasanii wa bongo moive nao walihakikisha wanashiriki nasi kisawasawa katika burudani hizi za x-mass ndani ya dar live
pichani ni_ joh makini akiwapaga wisha mashabiki
mfalme mzee yussuf(big dady)mzee wa elda lao aaa!
mfalme huyo wa miondoko ya taarab mzee yussuf yeye ndo alikuwa man
of the match kwani pale alipofika tu kabla ya kupanda hata jukwaani
shangwe zikaanza watu wakisema(babu babu babu.....)yani kiufupi tamasha
hili lilibebwa zaidi na msanii huyu wa miondoko ya taarab mfalme big
dady mzee yussuf baada ya kupewa kipaza sauti na kutangazwa kuwa sasa ni
zamu yake ku perfom shangwe tena mzee yussuf alimba karibu nyimbo zake
zote tangu albamu ya two in one mpaka hii ya sasa wasi wasi wako
pichani{ mfalme mzee yussuf}
kulia ni steji show wa jahazi modern taarab abla manoma {katikati}
mzee yussuf mwenyewe big dady na kushoto ni hemedi kisengeli mtoto wa
kiwalani
jahazi crew
{mashabiki}
kulia ni hemedi kisengeli steji show wa jahazi modern taarab
{katikati} rahma machupa mama wa nipe stara msanii chipukizi kutoka
jahazi modern taarab na kushoto ni abla manoma
0 comments :
Post a Comment