eric wa vituko show nae alikuwa kama mshereheshaji katika onesho hilo la mitikisiko ya pwani mjini tanga kuhakikisha wapenzi wa taarab wanafurahia na times fm 100.5 ilikuwa hatari sana mjini tanga
mwite imeraa soro mtoto shujaa mtoto wa kitaa mpiga solo wa jahazi nae alihakikisha anafanya mambo mazuri na show ya mitikisiko ya pwana inakuwa pouwa zaidi mjini tanga
super kinanda mazoe akiwapapasia kinanda wakazi wa tanga katika viwanja vya mkwakwani team ya times fm 100.5 ilikuwa imeandaa show hiyo
imeraa soro
mama wa nunu akiwapa raha wakazi wa jahazi mkoani tanga.
fatma shobo
Dida wa mchops kama kawa mama ambae hakaukiwi maneno anasema mpaka na paka wa uwani yani dada ambae anakimbiza zaidi kwenye vipindi vya mipasho yaaani taarab kupitia kipindi cha mitikisiko ya pwani kinacho milikiwa na times fm 100.5
Dida wa Mchops
mohamedi ally mtoto pori akimpa tunza mwanamziki wa taarab kupitia kikundi cha kimbegu modern taarab kinacho patikana mjini tanga.
Mwanamziki wa kimbegu Modern Taaarab
Mwanamziki wa Kikundi cha kimbegu Modern Taaarab
mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa tanga bi asma akiongea na wakazi wa tanga katika show ya mitikisiko ya pwani hapo jana usiku.
Sauti ya chiriku bibie Khadija Yussuf nae alifanya wapenzi wa jahazi modern taarab wajiskie vizuri na burudani za kutosha kwa wakazi wa tanga
Rahma Machupa
Rahma Machupa
Malkia wa mipasho Tanzania khadija omar kopa aliwapa burudani nzuri wakazi wa tanga
Mohamed ally,PRINCE AMIGO & ERIC
Mohamed ally,PRINCE AMIGO & ERIC
0 comments :
Post a Comment