mohamedi ally(mtoto pori)
mohamedi ally(mtoto pori)
msanii wa jahazi mtoto pori akifanya yake usiku wa leo katika ukumbi wa dar live zakiem(mbagara)
babu ally(kichupa)&hance kiumbe
prince amigo(abubakar sudi)
prince amigo(abubakar sudi)
mussa bezz
chid boy(keybodist)
super kinanda mazoea
imeraaa soro mtoto shujaa mtoto wa kitaaprince amigo(abubakari sudi)
wapenzi wa jahazi wakipata burudani ndani ya dar live usiku huu.kumbuka picha hizi zinakujia moja kwa moja live kutoka eneo la tukio
wapenzi wadau wa jahazi modern taarab ndani ya dar live usiku huu picha na matukio live yanaletwa kwenu na jahazi media
miriam amor akiwapa neema wakazi wa jiji la dar es salaam usiku wa leo ndani ya dar live usiku huu picha na matukio yote ni live bila chenga jahazi media
miriam amor
miriam amor akisema na wapenzi wa jahazi modern taaarab ndani ya dar live zakheem jijin dar es salaam yani full shangwe.
sauti ya chiriku khadija binti wa yussuf nae alihakikisha burudani inakuwa nzuri zaidi usiku wa leo pande za dar live.
khadija yussuf
wapenzi wa jahazi wakiongea na msanii wao kgadija binti yussuf ndani ya dar live usiku huu
picha na matukio mengine tazama na kupitia blog hii kesho mapema asubuhi kwa leo tuishie hapa:
0 comments :
Post a Comment