KAMA UKUSHIRIKI KWENYE BURUDANI ZA JAHAZI DAR LIVE TAZAMA HAPA UJIONE PRINCE AMIGO AKIFANYA KUFURU
jahazi modern taarabu ndani ya dar live katika kuhakikisha swala zima
la burudani linatimia kwa wakazi wa jijini dar na mikoa jirani na
kuhakikisha amigo anazaliwa kwenye mazingira mazuri siku hiyo
amigo ndo habari ya mjini tazama ma dada hawa wenye
nakshi zote wakisimamia vyemba birth day ya prince amigo
mc mabobishi mwansiti akiwa na mtoto alie zaliwa jumamosi ndani ya kumbi za dar live
Prince amigo
Prince amigo ndo habari ya mjini
jamani keki taaam.......................
Prince amigo akiwasha mshumaa kuashiria muda alio zaliwa umefika
shangweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hii ndo jahazi bwana
tunajimix kwenye jumba la sinemaa
HANCE KIUMBEE WAONYESHEEEEE
MENEJA SAIDI KESI AKIWA ANAKATA KEKI
TAMUUU MPAKA NAJIRAMBA
MSANII WA JAHAZI FATMA AKISHIRIKI KWENYE ZOEZI LA KULA KEKI YA AMIGO
RAHA TUUUU
HUYU NDO CHIDI BOY KIJITI BWANA
huyu ndio mfalme mzee yusuph
NANI KAMA MFALME
Wakazi wa Dar es salaam wakikonga nyoyo na mfalme mzee yusuph
hapana chezea mfalme mzee yusuph amatokelezea kifalme
HABARI/PICHA:HANCE KIUMBE
0 comments :
Post a Comment