host
vigoli wakicheza nyimbo ya twanga pepeta
2
3
4
mfalme mzee yusuph ndani ya vigoli show
father mauji akiwapeleka watu kusini katika show ya vigoli iliyo fanyika jumapili hii ndani ya ukumbi wa traventine hotel magomeni
jahazi crewben nae hakukosa kuhakikisha mambo yanakuwa saa
majaji wa vigori
jb na mfalme mzee yusufu
mshiriki wa kigori ma nywere
mshiriki wa kigori ma nyweremshiriki kigori ma nywere
mshiriki kigori
artst dayna
dayna akiwa on stage kwenye makamuzi ya vigoli
may masa akicheza ngoma ya diamond ngororo
vigoli wakicheza nyimbo mpya ya diamond Ngororo
vigoli wakipandisha moli kwenye show yao jumapili hii kwenye nusu fainali ndani ya ukumbi wa traventine magomeni
story na picha by:HAJI MABOVU
0 comments :
Post a Comment