Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa
John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya
Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa
magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi
wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo
eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment