KUNDI LA MUSIC WA MWAMBAO JAHAZI MODERN TAARAB WANA WA NAKSHI NAKSHI WATAFANYA YAO SIKU YA JUMATANO HII NDANI YA MANGO GADERN KUANZIA SAA TATU USIKU MPAKA MAJOGOO BILA KUMSAHAU MFLME MZEE YUSUPH KUDODOSHA SHOO KALI YEYE PAMOJA NA MKEWE MALKIA LEYLA RASHIDI NA DADA YAKE MZEE YUSUPH MWIMBAJI NYOTA WA JAHAZI KHADIJA YUSUPH KINGILIO NI SHILINGI ELFU SITA TU NA TIKETI ZINAPTIKANA PALE PALE GETINI
Home
/
EVENTS
/
NI WALE WALE WAKALI WAKO WA TAARAB JAHAZI MODERN TAARAB WATAKINUKISHA KATIKA UKUMBI AMBAO HAWAJAFANYA SHOW KWA MUDA SANA YANI MANGO GADERN
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment